ABOUT US

CHAMA CHA KUTETEA HAKI NA MASILAHI YA WALIMU TANZANIA. NI CHAMA KIPYA CHENYE WANACHAMA ZAIDI YA ELFU 27. CHAMA KINACHOJIHUSISHA NA HARAKATI ZA KUTETEA HAKI ZA WALIMU TANZANIA, ILIKUBORESHA MASILAHI NA UTENDAJI KAZI WA WALIMU TANZANIA.
TUNAAMINI KWA HARAKATI HIZI, TUTABORESHA SEKTA YA ELIMU NA KUBORESHA UFAULU WA WANAFUNZI TANZANIA, KWA KUJALI NA KUTHAMINI MASILAHI NA UWEPO WA WALIMU.